Naomba kuelezwa kuhusu Shahada ya Uzamili ya Public Health

Wakati mimi nasoma ilikuwa tsh.7670000 kwa mwaka.
Hii ni kwa regular track yaani full time.
Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni (siku ya jumatatu hadi ijumaa).
NB: Hii ni kwa MUHAS.
Mkuu nimeomba hii kozi, gharama ya research inaweza kuwa kama ngapi? Na ile distant learning ya miaka miwili inakuwa sh ngapi kwa miaka yote miwili?
 
Wasalaam wana jamvi!

Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza mwaka huu.

Naombeni kujua kutoka kwa wadau wanaoijua hii ishu ninayosomea kazi zake katika private sectors na international organizations

Je ni kweli zipo kama tunavyoambiwa? Na salary zake zipoje? Na pia nitapenda kama mtanipa mawazo mbalimbali na mapendekezo kuhusiana na mada husika.

Naamini kuna watu pia watajifunza kwenye mada hii.

Asanteni!
Vipi ulifanikiwa kuajiriwa huko kwenye mashirika na unakunja ngapi saivi mkuu?
 
Habari boss.
Ndiyo nilifanikiwa ni zonal coordinator nakunja 3m per month (nje ya allowances na safari)

Pia nafanta research consultancy kwa master's students wanaohitaji assistance.

Kiufupi MPH imebadili maisha yangu completely.

Thanks kwa kufanya follow-up ya uzi huu mkuu
 
Mkuu tupe updates
Habari mkuu.
Nashukuru kwa kufanya followup, naamini kuna watu watajifunza kupitia uzi huu.

Nilifanikiwa kumaliza MPH pale MUHAS mwaka 2019, namshukuru Mungu nilipata award ya mwanafunzi bora kwa MPH class of 2019. Naamini baadhi ya classmates wangu wapo humu (nawasalimu naamini mshanijua tayari, it was a wonderful experience kuwa nanyi, i miss u sana)

Baada ya kuhitimu nilianza kufanya part time kufundisha chuo masomo ya research, epidemiology and biostatistics. Baadae nkapata kufanya kazi za muda mfupi kwy projects za mashirika mbalimbali kama
1. Schupa Tansania E.v - Germany
2. Finnish christian Medical society - Finland
3. Finnish Rotary doctors Bank - Finland

Katika kipindi hicho nimezunguka nchi almost 10 za ulaya sababu ya hizo projects (kwa ajili ya training, workshops and conferences).

Lakini pia nimekua nafanya research consultancy kwa masters students wanaohitaji assistance kwa gharama nafuu sana.

Currently, ni zonal project coordinator wa shirika fulani (sitalitaja kwa sasa, maana nna wiki moja since nianze kazi).. ni coordinator kwa mikoa mitatu ya kusini.

Kiufupi i feel proud kusoma MPH, kama nisingesoma sjui ningekua wapi. Nawaasa ndugu zangu usikatishwe tamaa na mtu yoyote ukiamua kufanya kitu muonbe Mungu wako yeye ndo anajua kesho yako.

Asanteni wakuu
 
Good,

Binafsi, I have a dream ya kusoma Msc Epidemiology and Biostatistics, kwa Tanzania inatolewa Kcmuco.

Napambana nipate scholarship hata nikipata kwa nje ni sawa, but I really admire this course.
 
Mkuu i wish u all the best... nadhani hata MUHAS ipo hii. Hii kozi pia iko ndani ya Public Health, ukipata shavu kwenye haya mashirika na projects basi utakula mema ya nchi.

Go for it
 
Jamaa yangu alikupa ushauri mzuri sana ila he is no longer alifariki mwaka jana kwa tatizo la moyo Keep on Rest in peace friend Ip mob
What??? IP MOB is dead? Dah nmeumia sana kwa kweli, jamaa alinitia moyo sana despite watu kunikatisha tamaa ila jamaa alinifuata mpaka DM tukawa tunawasiliana...

Jamaa hakusita kufanya followup nakumbuka nlivomaliza chuo alinitafuta akaniuliza niko wapi.. at that time skua na mchongo.. jamaa akaniambia anafanyia UN, akanitumia na link za ku apply kazi akasema UN wakitoa kazi atanistua. Ingawa sikufahamiana nae kiundani ila alkua mtu poa sana. Ni mda kidogo nilimcheki nkaona kimya sikujua kama amefariki.

Mungu amrehemu huko aliko, hakika ana mchango mkubwa katika maisha yangu
 
Mkuu i wish u all the best... nadhani hata MUHAS ipo hii. Hii kozi pia iko ndani ya Public Health, ukipata shavu kwenye haya mashirika na projects basi utakula mema ya nchi.

Go for it
MUHAS wana Applied epidemiology pekee, mi naipenda ya Kcmuco maana it has both Epidemiology na Biostatistics kwa pamoja.
 
An MSc in Epidemiology and Biostatistics is a graduate program focused on understanding and addressing public health issues. It combines the study of disease patterns (Epidemiology) and statistical methods (Biostatistics) to collect, analyze, and interpret health data. Graduates are prepared for careers as epidemiologists, biostatisticians, or data analysts in various healthcare and research settings, contributing to disease prevention, health policy, and evidence-based decision-making.
Naomba shule fupo kuhusu hii course
 
Habari mkuu.
Nashukuru kwa kufanya followup, naamini kuna watu watajifunza kupitia uzi huu.

Nilifanikiwa kumaliza MPH pale MUHAS mwaka 2019, namshukuru Mungu nilipata award ya mwanafunzi bora kwa MPH class of 2019. Naamini baadhi ya classmates wangu wapo humu (nawasalimu naamini mshanijua tayari, it was a wonderful experience kuwa nanyi, i miss u sana)

Baada ya kuhitimu nilianza kufanya part time kufundisha chuo masomo ya research, epidemiology and biostatistics. Baadae nkapata kufanya kazi za muda mfupi kwy projects za mashirika mbalimbali kama
1. Schupa Tansania E.v - Germany
2. Finnish christian Medical society - Finland
3. Finnish Rotary doctors Bank - Finland

Katika kipindi hicho nimezunguka nchi almost 10 za ulaya sababu ya hizo projects (kwa ajili ya training, workshops and conferences).

Lakini pia nimekua nafanya research consultancy kwa masters students wanaohitaji assistance kwa gharama nafuu sana.

Currently, ni zonal project coordinator wa shirika fulani (sitalitaja kwa sasa, maana nna wiki moja since nianze kazi).. ni coordinator kwa mikoa mitatu ya kusini.

Kiufupi i feel proud kusoma MPH, kama nisingesoma sjui ningekua wapi. Nawaasa ndugu zangu usikatishwe tamaa na mtu yoyote ukiamua kufanya kitu muonbe Mungu wako yeye ndo anajua kesho yako.

Asanteni wakuu
Safi sana, a good motivation...wish you more success
 
Back
Top Bottom