Hao fangu mkuu nenda duka la madawa ya pembejeo upate blue copper au dawa ya kuuwia fangu ( zipo tofauti tofauti ila kunamoja sijaipata vizuri jina inaitwaje wanauza 30,000/= per lt ndio bora zaidi )
Alafu kuwamsafi bwana safisha shamba ilo ππππ iyo ni mali ya thamani sana aise tena zaidi ya duka kwasababu inayouwezo wakukurisha zaidi ya miaka stini