vannydaddy Member Joined Jan 19, 2014 Posts 31 Reaction score 3 Feb 6, 2014 #1 Mi mgeni kabisa katika jukwaa hili.. Cjasoma nn kinaendelea kwa pande hii.. Naomba kueleweshwa kwa undan.. Nini kinafanyika ktk jukwaa hili..
Mi mgeni kabisa katika jukwaa hili.. Cjasoma nn kinaendelea kwa pande hii.. Naomba kueleweshwa kwa undan.. Nini kinafanyika ktk jukwaa hili..
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Feb 6, 2014 #2 twambie kwanza wewe ni ke au me
vannydaddy Member Joined Jan 19, 2014 Posts 31 Reaction score 3 Feb 6, 2014 Thread starter #3 Mi ni ME..
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Feb 7, 2014 #4 Tunatega na kuvua !
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Feb 7, 2014 #5 vannydaddy said: Mi mgeni kabisa katika jukwaa hili.. Cjasoma nn kinaendelea kwa pande hii.. Naomba kueleweshwa kwa undan.. Nini kinafanyika ktk jukwaa hili.. Click to expand... na kiroba au gongo au mnazi? halafu uwe makini ukishalewa kuna watu wana tabia mbaya
vannydaddy said: Mi mgeni kabisa katika jukwaa hili.. Cjasoma nn kinaendelea kwa pande hii.. Naomba kueleweshwa kwa undan.. Nini kinafanyika ktk jukwaa hili.. Click to expand... na kiroba au gongo au mnazi? halafu uwe makini ukishalewa kuna watu wana tabia mbaya
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 7, 2014 #6 upo tayari kuvuliwa....?
T time theory JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 766 Reaction score 640 Feb 7, 2014 #7 Ungekuwa na subraa ungejua kinachoendelea...........
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,102 Feb 7, 2014 #8 time theory said: Ungekuwa na subraa ungejua kinachoendelea........... Click to expand... I will alwayz love u jf
time theory said: Ungekuwa na subraa ungejua kinachoendelea........... Click to expand... I will alwayz love u jf
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Feb 7, 2014 #9 kuwa mpole tu mkuu
vannydaddy Member Joined Jan 19, 2014 Posts 31 Reaction score 3 Feb 11, 2014 Thread starter #10 Duuuu.. Huku kweki choo cha kike..