Naomba kueleweshwa.

Lavie

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
60
Reaction score
15
Je, kama serikali ya magamba ikitumia ubabe kutufukuza kazi walimu tuliogoma, je, hatua za kuchukua ni zipi? Na pia mshahara wa mwezi huu hadi sasa haujatoka huku kwetu, je, hawawezi hawa madhalimu kuuzuia kama kutukomoa, au sheria inasemaje? Naomba mwenye uelewa anieleweshe tafadhali.
 
Ha ha usiogope hata kama ukiukosa mshahara umetimiza jambo muhimu sana.
 
@khaa! yaani kumbe watu tunahofia kufukuzwa kazi???? tutakwenda kutafuta nyingine basi, kuhusu salary hivi wewe umegoma toka lini? mbona kama mwez wa saba umetumika kasoro siku hzi mbili?
anyway miye ni bush lawywer so siwez kukupa vifungu vizuri ngoja waje wanasheria wenyewe
 
Unajali maslahi ya sasa? Ucngegoma km ni muoga kias hicho, fanikisha ukitakacho now hy ufuatilie baadae
 
Ndio kimekuwa kinawarudisha nyuma siku zote kugeuka geuka nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…