Naomba kuelekezwa ilipo kampuni Vision MultilLevel (VML) Global Tanzania Ltd

Kampuni

Member
Jul 12, 2013
19
0
Habari wanajamvi! Naomba kwa anayefahamu ilipo kampuni ya kizalendo ya VML Global Tanzania Limited au saccos yao Vission Saccos Limited anielekeze walipo, nataka niende kuwaona nina muhogo ekari 10 natarajia kuvuna niwauzie maana naskia wanatoa bei nzuri ya raw cassava kwa ajili ya kutengenezea unga bora wa muhogo. Naomba kuwasilisha jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom