M micka jac Member Joined Apr 4, 2014 Posts 49 Reaction score 20 Apr 7, 2014 #1 ahsanteni. Mungu awabariki.
K kagaruki2 Member Joined Feb 2, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Apr 7, 2014 #2 Pole sana ndugu. Mungu atakusaidia usijali. Chochote kitakachopatikana tutasaidiana.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Apr 7, 2014 #3 pole sana mdogo wangu hiyo ni mitihani naami utashinda tu ila chakufanya ungejaribu kwenda kwenye mashirika binafs au ya dini watakusaidia.
pole sana mdogo wangu hiyo ni mitihani naami utashinda tu ila chakufanya ungejaribu kwenda kwenye mashirika binafs au ya dini watakusaidia.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,514 Reaction score 42,651 Apr 7, 2014 #4 micka jac said: sawa ila sidhan na ndio maana nikaanzia hapa. Click to expand... Matola mtu wa mungu msaada wako unahitajika hapa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
micka jac said: sawa ila sidhan na ndio maana nikaanzia hapa. Click to expand... Matola mtu wa mungu msaada wako unahitajika hapa