Naomba kibarua chochote

Pole sn ila yatima mwsho miaka 18.... Upo mkoa gan kama upo geita au kahama n pm
 
Sirudi tena huku, we kumbe watu wana mafaili yako humu husemi
 
Uyu binti ameniomba kumpazia sauti sio mwenye account ndomana nimeweka details zake na contact zake kwa mwenye uwezo wa kumsaidi
" Amenipigia simu ya shukrani kuna duka anaenda kuanza kazi"

Wema ni akiba
 
It is not fair kwa mtu mwenye ,30 years kujiita yatima
Tuanzie kwenye definition ya yatima..!!! Kwangu mimi, ni sawa na mahusiano kati yako na baba au mama yako. Wewe ni mtoto tu kwao, haijalishi una umri gani. Yatima ni kile kitendo cha kuwa umefiwa na wazazi wote wawili katika umri wowote ule.

TATIZO LA WENGI, UYATIMA WANAUUNGANISHA NA UMASIKINI NA UMRI. WANADHANI UKIWA NA UMRI MKUBWA NA HUKU UMEFIWA NA WAZAZI WAKO, WEWE SIYO YATIMA, NA UKIWA UNAJIWEZA AU TAJIRI NA HUKU UMEFIWA NA WAZAZI WAKO, WEWE SIYO YATIMA.
 
Yatima ni mtoto aliyefiwa na baba na ambaye bado hajaweza kuanza maisha ya kujitafutia au wengine wanasema yule ambaye haja balehe lakini kibongo bongo tusime tu yule ambaye hajafikisha miaka 18 na kwa sheria zetu mzazi usipomuhudumia unaweza hata kushitakiwa lakini sio wa miaka 30 eti ajiite yatima,hapana.
Kijana au binti wa miaka 30 hata kama baba yake yupo hai na ana uwezo wa kifedha akiamua kumchunia hawezi kumpeleka kokote kwa miaka 30 wewe tayari ni mtu mzima unaweza kujitafutia mwenyewe.
 
Aisee huu ujinga kamwe usije ukaundika tena pale unapokuwa unatafuta kazi au opportunity .

Kujiita yatima au kusema Una maisha magumu watu wa kuonee huruma sio kigezo cha watu kukupatia kazi naomba usirudie tena kuzungumza haya maneno .

Unapoomba kazi hakikisha unaandika sababu za kuwafanya watu wakupe kazi hapa hapa ninaongelea uwezo wako wa kufanya kazi katika eneo la kazi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30

Wanajamii mimi binti ambaye ni tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana

Nawaomba mwenye kunisaidia kibaru chochote nipo tiyari

Nitashukuru mnoo

‪+255 742 898 111‬
#" NILIPATA SIMU 1 YA KAZI YA DUKA NA KUAMBIWA NTAENDA KUANZA KAZI LAKINI KIMYA
.NAWAOMBENI NDUGU JAMAA MNISAIDIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…