Kasha sema bintiJinsia?
St. Anthony's ipo Mbagara Dsm, kwa maana hio mleta mada atakua yupo DarUko wapi ? Kama upo dsm njoo pm
Watu wanataka ujuzi na uwezo wa kujituma katika kazi; haya mambo ya yatima sio muhimu sanaKumekucha na makucha yake
Wa namna hiyo hawafaiUmemsahau huyu mribu? Kuna siku aliandika anaitwa Asha yupo Arusha anatafuta marafiki akaweka na picha ana vipini kila kona masikioni, puani, usoni.....haumkumbuki???
Leo kaja kivingine😁😁😁
Tafuta ujuzi wowote uwe wa kushona nguo, kushona viatu n.k na huu utajifunza ukiwa karibu na hao watu; kuwa na ujuzi fulani ni rahisi kusaidikaSina ila niliwah kujishikiza idara ya fedha hindu mandal hosp kwa muda wa mwaka 1
Duh basi kazi ipo.. NakumbukaUmemsahau huyu mribu? Kuna siku aliandika anaitwa Asha yupo Arusha anatafuta marafiki akaweka na picha ana vipini kila kona masikioni, puani, usoni.....haumkumbuki???
Leo kaja kivingine😁😁😁
Hii shule sio private?(st. Anthony)
Tunauza Vitu aina mbalimbali. Tupo DarNdugu Oliver umeshaoa?View attachment 2593220
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heshima yako
WA kiume wewe
kumekuchaNdugu Oliver umeshaoa?View attachment 2593220
Miaka 30 siyo yatima tena hata hivyo pole kwa kumpoteza mzazi na kama matatizo yamekuzidi una haki ya kuomba kusaidiwa lakini usitumie hoja ya uyatima.Habarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30
Wanajamii mimi binti ambaye ni yatima tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana
Nawaomba mwenye kunisaidia kibaru chochote nipo tiyari
Nitashukuru mnoo
+255 742 898 111