Naomba kibarua chochote

Mributz

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
301
Reaction score
665
Habarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30

Wanajamii mimi binti ambaye ni yatima tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana

Nawaomba mwenye kunisaidia kibaru chochote nipo tiyari

Nitashukuru mnoo

‪+255 742 898 111‬
 
30 years almost 50% ni yatima.

Anyway pole, usikate tamaa. Una skills gani ukiachana na hio form six?
 
Uko wapi ? Kama upo dsm njoo pm
 
Taja elimu yako
 
It is not fair kwa mtu mwenye ,30 years kujiita yatima
Tupo tofauti kuzipokea hali za hatari ktk maisha,I mean kila mtu ana namna yake ya kupokea wakati mgumu so yeye anajiona yatima kutokana na ameshindwa kuhimili hali ya kukosa wazazi ambao ni msaada mkubwa hata kama hawamsaidii kipesa.

Angekuwa hana njaa (pengine kama ulivyo wewe) angekuwa na jeuri ya kusema siyo yatima ila mazingira ndiyo yamemlazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…