secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,972
Ni pombe ya mwendokasi sana ambayo huchemshwa makorongoni kwa Siri sana maana ni haramu kutokana na kiwango chake kikubwa cha kilevi.Naisikia tu sijawahi iona
Nina miaka 25
Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii.
Mahali ni Dar es salaam
Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.
Ya kutumia nguvu akili nk
Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza.
Ahsante sana
Kwamba?Hapana kaka mimi nafanya KAZI yoyote ila iwe salama isiwe sababu ya mm kwenda jela au kumkosea Mungu kama unaweza nidaio
Mkuu acha kunisimanga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kazi ipo kama utaweza .vigezo uwe na nguvu, smartphone na muda mwingi uwe unashinda mitandaoni ukifuatilia wanaoisema vibaya serikali...malipo kwa siku ni 7000.
Ndio naweza mkuuKazi ya kutafuta masoko unaweza?
UtanichekiNdio naweza mkuu
Ungemjibu kwa ile ID nyingine mkuu 😁Pole sana najua kwenye jukwaa kuna wahitaji na ambao sio wahitaji lakini pia kuna wapiga doria waleeee kwa hiyo njia hii sasa hivi ngumu kukupa connection hakuna anaemuamini asiyemjua.