Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,315
- 6,829
kazi ipo kama utaweza .vigezo uwe na nguvu, smartphone na muda mwingi uwe unashinda mitandaoni ukifuatilia wanaoisema vibaya serikali...malipo kwa siku ni 7000.Nina miaka 25
Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii.
Mahali ni Dar es salaam
Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.
Ya kutumia nguvu akili nk
Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza.
Ahsante sana
Nashukuru snaa
Ahsante snaaKaribu chama Cha ma jobless pro max
Nisaidie nipate kazi mkuuHongera mkuu, ni vizuri sana kutafuta/kuwa na kazi.
Hapana hii siwezi mkuukazi ipo kama utaweza .vigezo uwe na nguvu, smartphone na muda mwingi uwe unashinda mitandaoni ukifuatilia wanaoisema vibaya serikali...malipo kwa siku ni 7000.
wewe umeomba kazi yoyote..tunataka vijana wa kuwatukana wapinzani na kuanzisha thread ndefu za kuisifia serikali kama kijana wetu Lucas MwashambwaHapana hii siwezi mkuu
Mkuu nahitaji KAZI yoyoteKazi yoyote nadhani sio statement nzuri, ingependeza kama ungetoa baadhi ya kazi ambazo unahitaji
Kazi ya kuchakata warembo kwa ujira mnono utaweza?Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.
kazi zinazoenda kinyume na sheria na taratibu za nchi yetu ndizo zina malipo mfano kuteka watu, kuwatembezea kipigo cha mbwa koko raia wanaoanzisha mada za uchochezi.kuwa informaMkuu nahitaji KAZI yoyote
ISIPOKUWA KAZI AMBAZO ZINAENDA KINYUME NA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI YETU
Hapana kaka mimi nafanya KAZI yoyote ila iwe salama isiwe sababu ya mm kwenda jela au kumkosea Mungu kama unaweza nisaidieNa wewe ni wale mnaotafuta kazi uingie saa 2 asubuhi utoke saaa 8 mchana sio??
Hapana kaka mimi nafanya KAZI yoyote ila iwe salama isiwe sababu ya mm kwenda jela au kumkosea Mungu kama unaweza nidaioNa wewe ni wale mnaotafuta kazi uingie saa 2 asubuhi utoke saaa 8 mchana sio??
Mkuu acha kunisimangaKazi ya kuchakata warembo kwa ujira mnono utaweza?
👇
View: https://youtu.be/d7wTU_RR4g4?is=3TFxtp08R7Di-jjM
Hii siwezi Afandekazi zinazoenda kinyume na sheria na taratibu za nchi yetu ndizo zina malipo mfano kuteka watu, kuwatembezea kipigo cha mbwa koko raia wanaoanzisha mada za uchochezi.kuwa informa
Mkuu, mimi nauza bangi na mihadarati, sasa sijui kama utaiweza. Mwaka huu nataka nianzishe mtambo wa kuchemsha gongo haramu/piwa.Nisaidie nipate kazi mkuu