nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
AsanteNi nature tu we endelea kutuma cv
Hapana kuna mwanamke nimemzalisha mwaka Jana nimeeanza kukaa nae na kazi zote mbili nimepata nikiwa nae.Angalia na wanawake una date nao
Kuna wanawake wengine wana mikosi ya ukoo
Natamani.mtu mzuri wa kuniandikia Ila simpatiSema ukweli kwanza, maana ukweli utakukomboa, its seems hujakaa miezi minne mtaana huna kazi labda miaka minne etc, weka wazi proffessional yako unaweza pewa mawazo ya ziada kutanua wigo wa kuajiriwa, na cv yako ipo sawa maana kifumo inabadilika weka templets za kisasa siku hizi tunaangalia sana archievments na projects, tunaanza kuondoka kwenye kuangalia experience
Hapana ni miezi minne Mimi sijawakuexperience kukaa mtaani muda mrefu.Hahaha yaani miezi 4 tu unaanza kulalamika ? Hizo 2m hukuwa unawekeza? Kama ulifanya kufuru hayo ndo malipo!
Watu wana miaka kadhaa wanaomba na hawajaitwa wewe unasema eti tangu mwezi wa kwanza. Aisee! Au siyo nchi hii??
Uwe na aibu mkuu.
NakujaIf you dont mind share your cv inbox
Hata na wanaume mna mikosi piaAngalia na wanawake una date nao
Kuna wanawake wengine wana mikosi ya ukoo
Sasahivi nilitaka kuuliza kuhusu hizi NGO na wewe ndio umepostiSawa
Kuna demu ni mwalimu alianza kuomba since 2019 na hakuwai kuitwa hata sahili moja NGOs yoyote
Mpaka mwaka jana mwezi wa 3 ndio akaitwa kwenye NGOs moja kubwa saana ana mkataba wa miaka mitatu salary ya 3.4 milioni na malupulupu kadhaa
Sasa yupo anasimamisha nyumba za kupangisha kwa fujo kasulu
Anasema hataki TENA umasikini anajijengea misingi imara but she is single mother
Hata na wanaume mna mikosi pia
Kwanza zijue NGOs zote ambazo taaluma yako inaweza kuaply thenSasahivi nilitaka kuuliza kuhusu hizi NGO na wewe ndio umeposti
Naomba kuuliza hizi taarifa za kazi za NGO naweza kuzipatia wapi Mkuu na naweza kuzifahamu vipi na zinapofanyia kazi
NazijuajeKwanza zijue NGOs zote ambazo taaluma yako inaweza kuaply then
Hili swali ni gumu kiasi flani lkn kwa wepesi wa kujua ni kuzigoogleNazijuaje
Pamoja MkuuHili swali ni gumu kiasi flani lkn kwa wepesi wa kujua ni kuzigoogle
But officially way kwa ngazi ya mkoa ni kuuliza list ya NGOs zilizopo mkoa husika na kazi zake
(Ngoja nitauliza kwa muhusika ili nipate jibu la uhakika)
Wanawake mmezidiHata na wanaume mna mikosi pia