Kwanini umekataa rufaa?Habari ndugu,
Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.
Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi niweze kujikimu.
Nimeonewa ndugu, niombee niweze kushindaKwanini umekataa rufaa
AsantePole sana mkuu, maisha ni changamoto.
Hapana bro hata mimi zamani nilikuwa nikiamini hivyo mpaka yaliponikuta. Sikuwa mtoro wala kutenda yasiyofaa. Kosa langu ni moja tu kupewa elfu 10 na mteja niliyemuhudumia akirizishwa na huduma niliyotoa.Mkuu, utumishi wa umma hadi ukafukuzwa kazi inaelekea umezingua parefu sana.
Asante ndugu yangu napitia wakati mgumu kwelikweli nanusemacho najionea kabisa hakika ukipata matatizo unatengwa kwelikweli, Dunia yote naiona chungu.Mnaosema utumish wa umma mpaka kufukuzwa et kazingua sana jibu n hapana skuiz hata ukishndwa kuelewana na hr au supervisor wako wakikuundia zengwe unaandikiwa termination chap tu bila barua za onyo wala kalipio kali na utaambiwa kama uridhik na majibu ya kamati ya nidham kakate rufaa tume apo ndio tayar washakua kwenye reli, Tume kesi inaweza kukaa zaid ya mwaka mmoja na nusu haijafanyiwa kaz na kpnd chote iko huingiziw mshahara na badae watatoa majibu rahis tu kua maamuz ya kamati ya nidham yalkua sahii ndio umeondoka kwenye systm 100%.. pole sana kaka mpka ukasimame inahitaj moyo wa ajabu sana au Mungu akufungulie njia upate ktu cha kufanya kupunguza njaa apo nyumban
Najua unachopitia na ndicho nlchoptia jiandae kisaikolojia kupoteza watu wote uliokua unaamn ndio washkaj zako ndugu zako wa karbu na ujismamie mwenyew
Nimefukuzwa na mkuu wa Taasisi niliyokuwepoUnaposema umefukuzwa kazi na "mwajiri wako" unamaanisha nin?
Si kweli ndugu na sio jambo la kucheka hilihahahaha, huyo kazingua mbaya mbovu.
Asante nduguPole sana mkuu, maisha ni changamoto.
Asante ndugu nikweli usemacho nawakati mgumu sana kaka si Familia huwenda ningejizuruNaona maelezo yako hayajakaa sawa, huenda ni kutokana na hali unayopitia.
Pole sana, Mungu akusaidie uvuke hali hii pasipo kujidhuru.
Kuna kipindi niliyumba kiuchumi mpaka nikawa sijui kama nitakunywa chai asubuhi au la...aisee marafiki, sijui ndugu walikuwa wananikwepa na nilikua hata siwaombi chochote, yaani watu wakijua huna kitu wengi wanakuona na wewe si kitu. Ajipange kisaikilojia kwa kweli sonona inaweza kumtafuna akashinndwa kujikwamua mapema. Cha muhimu asichague kazi.Najua unachopitia na ndicho nlchoptia jiandae kisaikolojia kupoteza watu wote uliokua unaamn ndio washkaj zako ndugu zako wa karbu na ujismamie mwenyew
Walijuaje sasaHapana bro hata mimi zamani nilikuwa nikiamini hivyo mpaka yaliponikuta. Sikuwa mtoro wala kutenda yasiyofaa. Kosa langu ni moja tu kupewa elfu 10 na mteja niliyemuhudumia akirizishwa na huduma niliyotoa.
π π π π π π πKuna kipindi niliyumba kiuchumi mpaka nikawa sijui kama nitakunywa chai asubuhi au la...aisee marafiki, sijui ndugu walikuwa wananikwepa na nilikua hata siwaombi chochote, yaani watu wakijua huna kitu wengi wanakuona na wewe si kitu. Ajipange kisaikilojia kwa kweli sonona inaweza kumtafuna akashinndwa kujikwamua mapema. Cha muhimu asichague kazi.
Nyinyi ndo wenye roho mbaya na ngumu mnaofurahia matatizo ya wenzenu lakini kumbuka Dunia hii ni duara nimejitokeza kuomba kazi nisaidiwe niweze kusimama tena. Unaposema nina matatizo sana hiyo ni kejeli. Yawezekana wewe ni mtumishi hiyo taasisi niliyofukuzwa. Nimeshakata rufaa Tume namwachia MUNGU mtoa hukumu wa hakiKama ulikuwa kwa umma na umasema umefukuzwa kazi asee hebu tusikilize na upande wa pili.
We unaongea hapo ila unaonekana una matatizo Sana.
Tuelezee umeonewqje
aisee. pole sanaKosa langu ni moja tu kupewa elfu 10 na mteja niliyemuhudumia akirizishwa na huduma niliyotoa.
Shukrani ndugu kwa kunitia moyoPolesana omba Mungu akupe moyo wa ujasiri ili uweze kujipambania kipindi hiki kigumu naamini utavuka tu ikiwa utatambua thamani yako na kusudi la Mungu kwako.
Kumbuka maisha sio kuajiriwa tu wapo waliojiajiri na wanaishi vema sana.
SawaKajitolee baa ya jirani
Una hakika haikuwa rushwa?Hapana bro hata mimi zamani nilikuwa nikiamini hivyo mpaka yaliponikuta. Sikuwa mtoro wala kutenda yasiyofaa. Kosa langu ni moja tu kupewa elfu 10 na mteja niliyemuhudumia akirizishwa na huduma niliyotoa.
uhakika unaotaka wewe ni upi? Shtaka linasema hivyo kupewa shukrani ya Tshs elfu 10 kama ingekuwa rushwa walipaswa kuandika rushwa. Na rushwa ni hela ya kuomba hiyo sikuomba jua hivyoUna hakika haikuwa rushwa?
Kwenye kujitetea kwako umetumia neno "bakshishi"
Neno bakshisi linamaanisha zawadi atoayo mtu kwa kukushukuru kwa huduma nzuri inaweza kutia ndani pesa