Mijitu kama hii mishamba shamba ndio hufa kwa ukimwi kirahisi sana, umekwenda Morogoro kwa siku tano kufanya kazi, tayari akili yako iko kwenye kutafuta wanawake...akitokea mhuni akajidai yeye mwanafunzi wa masters mzumbe linaibiwa mpaka chupi linatia aibu, na ukimwi juu!! Kweli ushamba mzigo. Kwanini usibadirishane mawazo na wanaume mnaofanya nao kazi kama issue ni hiyo. Na kama mjanja kwanini usiende na demu au mke wako. Nenda Kahumba huko, msomi gani kama sio malaya utakayempata humu eti akupe kampani, wahi Kahumba muda unakwenda utaishia kupata wazee!! Mbulula!