Naomba kadi ya ccm wadau

Naomba kadi ya ccm wadau

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu
 
Sasa hapa ni Lumumba au Magogoni? Nenda kachukue kadi yako mtaa wa lumumba bwana
 
Zitto anazo nyingi tu, nenda kachague yenye no ya uanachama unayoitaka
 
chadema wameharibu mpaka kiswahili chako....Karibu ndani ya chama tawala!
 
Wewe mbona unajulikana ni gamba muda mrefu, ona na maviatu yake yalivyo, kwanza nimekusonya.
 
karibu sasa kwa chama dume chama cha wapenda amani na waleta maendeleo.ni pm mkuu
 
Nenda hata MSALANI kwenye hifadhi ya kinyesi utapata kadi ya wafu.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu

karipoti LUMUMBA.hakikisha unajiandikisha team buku7 uanze kupata commission yako...
 
Back
Top Bottom