Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Hivi umeona viatu vya huyo anayejiita eti alikuwa mwanaCHADEMA?Acha dharau wewe mkaka
Hilo ni ligamba tunalijua halafu linaleta stori za kutafuta kadi ya CCM JF, huo sio ujuha kweli?
Hivi umeona viatu vya huyo anayejiita eti alikuwa mwanaCHADEMA?Acha dharau wewe mkaka
Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu
Wewe aminangalo, unatufanya sisi wajinga, hujui kwamba hapa JF ni kwa ma-GT? Unajifanya eti ulikuwa shabiki wa Chadema!!!?? Tangu lini? Inaelekea hujui kwamba kila unachoandika hapa JF kinarekodiwa! Hebu ngoja nikukumbushe baadhi ya post zako ulizoandika hapa JF siku za karibuni: Tarehe 1.10.2013, 19:56, uliandika,"Tunataka tukamzike mwana CCM mwenzetu ni wapi na lini??" Tarehe 25.10.2013, 19:08, uliandika,"CCM ni chama dume la mbegu bisha uone." Vilevile tarehe 4.11.2013, 14:30, uliandika,"Pumba tupu raisi lazima atoke CCM tuu." Pia tarehe 6.12.2013, 21:07, uliandika,"Hata mimi naunga mkono Chadema kufutwa." Na tarehe 12.12.2013, 18:32, uliandika,"CCM tuu ndiyo mambo yote hapa chugga." Halafu leo unaleta za buku 7 !!!
Karibu sana Amina, bora umegundua CCM ndio TUMAINI PEKEE kwa Watanzania nyakati hizi!
Nimekuwa msabiki wa chadema na ccm kwa muda bila kuwa na msimamo ila kwasasa naomba kuhamia ccm kama mwanachama mtihifu
Loading...nimekuzara...sana