Ezekia Lameck
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 202
- 212
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndugu hapa utapewa majina ya ajabu .
Muite mtoto jina la vitu halisi
Mfano Bank kuu ya Taifa ,
Bangi, au kilimo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndugu hapa utapewa majina ya ajabu .
Muite mtoto jina la vitu halisi
Mfano Bank kuu ya Taifa ,
Bangi, au kilimo kwanza
Umewahi siti yangu!Chakubanga
Hehehehe aiseeChakubanga
Hehehe aisee!Nyau ww mbona hukutwambia tukusaidie kutia mimba
Constantine,Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
ChristopherNaomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
CondomuNaomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
Hahahachinembe