Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Kuna nyuzi ukichelewa kuzifumania zikiwa za moto moto,unabaki unacheka,maana wadau washa-comment kila upuuzi unaoufikiria kuuweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti chama, chakubang chadema, ccm, chanight[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cyprian !!!!!! Just kidding !! Go to babynames.com. Utapata majina na maana zake.
 
Back
Top Bottom