Naomba jina la huyu mdudu..

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,143
16,215
Screenshot_20190703-134214_WhatsApp.jpg
 
huyu ni nyegele anapenda kukaa kwenye nguo za ndani za kinadada saingine huwa anawatekenya unaweza kumkuta mdada anachekacheka mwenyewe au anakimbilia kupost uzi wa kinyegenyege humu,ukiona hivo ujue huyu mdudu yupo kule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom