Heshima yenu wakuu!.
Katika pilika pilika na huu ugumu wa maisha nimejikuta nauimba huu wimbo baadhi tu ya maneno.
......HATA UKULA UGALI NA CHUMVI Ooooh!
SHUKURU MUNGU AMINATA USIFE MOYO..........!
AMINATA, AMINATA, AMINATA.......!
sasa kwingine nime sahau.
Natanguliza shukrani zangu kwako.
Sent using
Jamii Forums mobile app