Naomba jibu sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba jibu sahihi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jun 1, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Umeoa siku si nyingi, kila siku mkila chakula cha uzima mama watoto wako anakwambia "mi bado", mzee unajitahidi tena na tena, lakini kauli ya mama watoto bado ni ileile.
  Baada ya siku kadhaa kupita bi mkubwa wako anakupasulia kuwa, yeye bila kuliwa tigo unakuwa bado hujamfikisha.
  Je utafanya nini na mwanamke huyo?
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  huyo mwanamke bila shaka walikutana kwenye mchiriku
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Miaka yote ulikuwa hujamgundua kwa nini? maana nahisi mpaka kumwita bi mkubwa lazima kuna na bi mdogo au?
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Jf kuna mambo sana. Bujibuji uko chooni muda huu unatuma post? Au mama watoto wako kakuruhusu kuingia JF siku hizi?
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Nitazungumza nae kuhusu tatizo lake kwa upendo,kisha nitamwambia madhara ya hiyo kitu,akishajua nitamuuliza kama yuko tayari kuacha,kama jibu ni ndiyo tutatafuta tiba ya ushauri na hatimae ataacha,sitaonesha kumnyanyapaa,bali nitalichukulia kama tatizo la familia na sio lake mwenyewe!
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hold tight fellas, tigo is back!:mod::mod:
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hebu iweke kwa kiswahili kina namanjogoro tukuelewe
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  wanawake wengine ni mkosi katika ukoo. Kama huyu atatuletea watoto wa ajabu sana wenye tabia za kishoga, hebu mtimue haraka, vinginevyo usije kutuambia tena kuwa umezodolewa na manesi
   
 9. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  punguza jazba mheshimiwa
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa umechukua precaution yasingetokea.
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mchiriku na disco vumbi ndio maisha yetu uswahilini.
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Juzi kuna jimama limeniambia huo ndo mchezo wake ila mume wake wa miaka ishirini hajui hilo.kuna njemba inatoka mombasa mara mbili kwa mwezi kuja kumfanyia service
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nadhani hizo ni fantansi za
  mapenzi.. ni kitu ambacho kipo
  na kipo kwa wengi, kuna wengine
  wanataka 3some, kuna wengine
  wanataka kujaribu wanawake wenzake, kuna wengine wanataka
  kuwekwa kwenye cage, na kuna
  wengine wanapendaa wake/ gf
  wavae kink clothers .. na hizi
  fantansy kuna wengine iwe isiwe
  lazima watimize, na kuna wengine
  wanajizuia sababu ya vitu kama ndoa, culture, uwoga n.k ..

  kwa hiyo afadhali hata huyo
  ameamua kuwa mkweli kwa mumeo..
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Huwezi kujua ni nini mtu
  anawaza na nivigumu kuchukua
  tahadhari ya vitu kama hivi waweza
  muuliza mapema kabla ya ndoa
  akasema hapana au hapendi..

  na vitu vingine hujitokeza baada
  ya ndoa some time is good to just go with flow.. maana waweza chukua tahadhari na kujipanga
  vema kila kitu kikageuka 110%..

  asantee
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapo na wewe inabidi ujifunze kutumia mtandao, au umuache...
   
 16. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  ndo hicho kinachonifanya nisioe
   
 17. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Sijakutana na mwanamke wa namna hii anayeomba kukandamizwa ki al qaida, nikimpata ntakupa jibu sahihi
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ki al qaida?????
  daaaahhhhh hii kali
   
 19. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Ngoja wafuasi wamuibukie
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  jf the home of great thinkers
   
Loading...