hello wakuu...
nina ramani ya nyumba upana mita 7.5 na urefu mita 16.5....sawa na squaremeter 123.75
haina mikunjo mingi sana ila ina sebule ya 4.5by 5m dining,coridoer,,jiko..stoo..masters...vyumba viwili vya kulala na public toilet moja na front veranda ...kiwanja kitakua na slope kiasi..sio sana....naomba makadirio ya matofali...cement..mchanga n.k..design ya paa bado ila kama utweza kunipatia nitashukuru....
asanteni wakuu
.ila hofu yangu ilikua nisije nikampa go ahead ya plan ambayo itakua haitekelezeki au inatekelezeka kwa gharama ambayo sijajiandaa....wengi huwa tunafail apo tunaishia kujenga makumbusho.....
sijapenda kuatach ile first draft hapa kuhofia kuharibu kazi yake au kugawa plan bure....naomba nieleweke hivyo
mkuu haujawa straight na maelezo yako, lakini nimeweza kukokotoa idadi ya tofali utakazo hitaji kujenga boma (sijagusia msingi, because its provisional);
reasonable assumptions
- size ya madirisha ni 1.5x1.5m, 1x1.5m, na 0.9x0.9m
- size ya milango ni 0.9x2.1m high
- opennings (windows and doors) take up 43m[sup]2[/sup]
- building height 3.2m
for that matter, walls form 234m2
kama tofali zitalazwa, utatumia approx tofali 2810
kama tofali zitasimamishwa, utatumia approx tofali 2110
topic inasema unahitaji idadi ya tofali...so mengine nitafute some other time..
asante sana mkuu..nimeambatanisha ramani tayari
Ramani nimeiona, ndo maana nikakupa hizo estimates...
hiyo ramani peke yake naona itakuumiza sana, itakuingiza kwenye gharama kubwa sana kwa kuwa ni nyumba ya kawaida lakini imesambaa mnooo....kama utapokea ushauri huu,mwambie mchoraji wako adisaini nyumba economy, say 7m kwa 10m na ikawa na vyote hivyo katika ramani yako ya mwanzo
Kula likes mkuu... Jamaa atakuwa kachorewa na mwanfunzi wa mwaka wa pili ili kupunguza design fees....
View attachment 302892
Hello wakuu...
Nina ramani ya nyumba upana mita 7.5 na urefu mita 16.5... sawa na square meter 123.75
Haina mikunjo mingi sana ila ina sebule ya 4.5 by 5m dining, corridor, jiko, stoo, masters... vyumba viwili vya kulala na public toilet moja na front veranda.
Kiwanja kitakua na slope kiasi, sio sana...
Naomba makadirio ya matofali, cement, mchanga n.k. Design ya paa bado ila kama utaweza kunipatia nitashukuru...
Asanteni wakuu
Mh,.. Ujenzi kazi ngumu aiseeKwa details hizo tu unategemea upata hesabu ya tofali na kuchorewa paa?
Huyo aliyekuchorea ramani kama ni mtaalam halali ana uwezo wa kukupa estimation za vitu vyote hivyo unavyovitaka, ni dakika mbili tu wala haichukuwi muda.