Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume mashoga kila massage niliyokuwa natumiwa wa naomba kutumiwa nyuma sikujua kama kuna uchafu wa namna hii kwenye hii Mitandao uchwara tafadhali tuungane pamoja kupinga maadili machafu nchini kwetu
No sikuwaomba urafiki ukiistall hii application watu waliokaribu na wew wanaweza kuona details zako hivyo wanaweza kukutumia msg nilishangaa kila mwanaume aliyetuma msg alijitambulisha yeye ni shoga it's pain kuona vijana wanadondokea kwenye maadili yanayopingana na utamaduni na maandiko matakatifu
Kujiunga na hiyo badoo unajaza fomu, inawezekana umejaza wewe ni gay maana kuna hiyo option, na unajaza unatafuta kudate au marafiki wa kawaida. Inavoonekana umejaza wewe ni gay na unataka kudate. Sio kosa lao mkuu maana system inakuletea wenye sifa kama zako haijui kama wewe ni straight umejaza gay, info ulizojaza zimewaita hao.Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa Badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume mashoga kila massage niliyokuwa natumiwa wa naomba kutumiwa kinyume na maumbile sikujua kama kuna uchafu wa namna hii kwenye hii Mitandao uchwara.
Tafadhali tuungane pamoja kupinga maadili machafu nchini kwetu