Naomba elimu kuhusu Nokia lumia

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Jamani habari zenu watu wa Mungu, naombeni mwenye utaalamu wa simu aina ya Nokia Lumia, nimekuwa naipenda sana hiyo cm ila zipo za aina nyingi zinanichanganya, sasa basi, naombeni mwenye kuifahamu lumia yenye program nzuri anifahamishe na anielezee itakuwa poa sana, nawakilisha wakuu
 
Muuzaji mzuri (dukani) atakusaidia mkuu, ila kama utatafuta za watembezaji jihadhari.
 
Kamuone chief mkwawa kuleta tech and gadgets.
 
Last edited by a moderator:

dola ngapi?
expected dola 700, hii ni simu ya watu ambao wapo adicted na camera. flagship ya nokia itatoka mwezi wa 9 (utamaduni wao) ambayo ndo itakua competition kwa iphone, samsung, htc, sony na wengineo. sema nayo ipo expected kuwa inch 6 kama hupend masimu makubwa hii itakufaa.
 
Hii nokia lumia 1020 ni balaa,
RAM-2GB,CAMERA 41MP,32GB INTERNAL STORAGE WITH NO CARD SLOT,WIRELESS CHARGING e.t.c

Hii itawafaa waheshimiwa wabunge wetu ingawa wataitumia kuwaringishia wapiga kura wao na kuitumia kwa kusema hullo upo wapi tuonane pale Chakochako(?
)mahakama ya kuch pale Idyodyoma
 
Kaka ni kweli hapo kwenye red wengine wakiongea utakuta limeziba kichwa chote na hata unashindwa kumuona anyeongoa hata kutembea nazo ni lazima uwe na ''briefcase''mfukoni hazikai''bahati mbaya ndi iwe ile kutoka kwa akina Xian Jing Pin huo uzito ni kama umebeba tofali la bloko
 

unastahili kuwa mwenyekiti wa jukwaa hili!

 
Lumia zote nzuri as long as unanunua yenye Windows Phone 8 yaani zenye jina linaloishia na 20.
Mambo mengine angalia features na bei unayoweza.
 
Wp zinasupport Instagram Au Ni Adroid tu pekee???
 
chukua lumia ambayo end ya namba yake n 20 kama 620,ndio hazisumbui haswa kwa net type ya tz
 
Wp zinasupport Instagram Au Ni Adroid tu pekee???

Nikama Alivyosema Chief Mkwawa ... ila Pia Instagram Sio Kwa Androids Tuu pia Ipo Kwenye ios[i phones, I Pads, Na Ipods Touch,,,, kama Sijakosea Huko Ndo Ilianzia Kabla Ya Kuingia Android Last Year!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…