Chief Sawa mkuu model yake ni TP200SA FV0108TS ASUS MKUU INAJIKUNJAku downgrade windows bila kuangalia kama pc yako inakubali si jambo la busara, na driverpack hawatengenezi driver bali ni komba komba wanachukua drivers kila mahala na kuzieka pamoja.
uhakika ni kuangalia site husika, nenda site ya asus search model hio ya laptop uangalie drivers kupitia site ya asus.
na pia flipbook tu haitoshi, inabidi ujue full model, mfano TP300LD. unaweza ipost hapa naweza kukusaidia kuitafuta.
drivers ni za win 10 64bit tu,Chief Sawa mkuu model yake ni TP200SA FV0108TS ASUS MKUU INAJIKUNJA
Chief unajua nili switch to window 8 kwasababu keyboard ilikuwa inasumbua sumbua muda mwingi inakuwa hai type hio keyboard mkuu ila tangu niingie win 8 tatizo hakuna tenadrivers ni za win 10 64bit tu,
ASUS Transformer Book Flip TP200SA | 2-in-1 PCs | ASUS USA
ushauri wangu mkuu rudi 10 tu, sidhani kama kuna kitu kipo 8 kwenye 10 hamna.
kwenye hio win 8 jaribu kwenda device manager kisha nenda human interface device angalia kama kuna touch screen hapo, kama ipo jaribu kudisable na ku enbale inaweza kubali.Chief unajua nili switch to window 8 kwasababu keyboard ilikuwa inasumbua sumbua muda mwingi inakuwa hai type hio keyboard mkuu ila tangu niingie win 8 tatizo hakuna tena
umejuaje kama zimecorupt?Drivers za laptop hp envy x360 zimecorrupt, before nilikuwa natumia gafla zikaja kucorrupt, sitaki kupiga windows tena kuja njia nyingine za kuweza kuzirudisha kama awali?
Chief nip direct link download hii driverdrivers ni za win 10 64bit tu,
ASUS Transformer Book Flip TP200SA | 2-in-1 PCs | ASUS USA
ushauri wangu mkuu rudi 10 tu, sidhani kama kuna kitu kipo 8 kwenye 10 hamna.
kwenye device manager umeshaenda? unaweza ukalimiza hili tatizo hapo.Chief nip direct link download hii driver
je chini ya mice na other pointing device hakuna hio touchscreen?Nimeenda mkuu ila HID compliant Touchscreen haipo mkuu
umepiga win 10 tayari?Hakuna kabisa chief afu ata keyboard natyp hait type baada ya kupiga win 10 ila driver za keyboard zipo mkuu
Poa boss nimepiga Yeah ten ila recommended ni 10 home edition Mimi nimepiga 10 pro, Nkifika home ntafanya ulivosemaumepiga win 10 tayari?
alternative nenda control panel then kwenye hardware
jaribu ku add new then iache iscan kama itaiona hio touch.
mkuu usipende kufanya mambo kinyume na manufacture, eka 10 home then tumia key yako iliokuja na laptop ku activate, hapo utapunguza ghasia,Poa boss nimepiga Yeah ten ila recommended ni 10 home edition Mimi nimepiga 10 pro, Nkifika home ntafanya ulivosema