Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 106
- 190
Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
Hapana sijaenda ndio maana nataka ayo mawqzo nianzie wapiUmekwenda hospital kuchunguza chanzo cha hiyo miguu kuwaka moto? Tuanzie hapo
Nenda hospital kajue chanzo cha hiyo miguu kuwaka moto halafu ndo suala la kutafuta dawa lifatie. Utatibu vipi tatizo wakati kisababishi hakijulikani? Je kama ni tatizo ambalo halihitaji dawa bali linahitaji mazoezi tu? Dawa ni sumu,usiombe tu dawa kwa watu.Hapana sijaenda ndio maana nataka ayo mawqzo nianzie wapi
Sawa nitaendaNenda hospital kajue chanzo cha hiyo miguu kuwaka moto halafu ndo suala la kutafuta dawa lifatie. Utatibu vipi tatizo wakati kisababishi hakijulikani? Je kama ni tatizo ambalo halihitaji dawa bali linahitaji mazoezi tu? Dawa ni sumu,usiombe tu dawa kwa watu.
Mimi yangu nina miaka 15 inawaka moto hadi nilishazoea. Back 2012 nilipewa multivitamins ikapungua maana ilkuwa hadi inavimba ila from that time haivimbi tena ila kuwaka bado kupo japo kiasi.Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
Umeifunga mada.Umekwenda hospital kuchunguza chanzo cha hiyo miguu kuwaka moto? Tuanzie hapo
Fanyia kazi comment #2 itakusaidia.Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
Sawa kiongoziFanyia kazi comment #2 itakusaidia.
'Miguu kuwaka moto' husababishwa na mambo mengi.
Mi niliwahi kuteswa na hiyo hali kabla sijaenda kufanyiwa medical checkup.
Niligundulika nna uric acid kwenye damu na nikaanza tiba iliyonipatia taafif.
Kitaalamu molecule za uric acid zikiingia kwenye mishipa, huchoma kuliko moto wenyewe, haulali wala hautembei, maelezo ni mengi.
Emb fika hospitali bhana!
Pole sana, I feel your pain nayajua maumivu ya miguuHabari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
Ngapi 7 au?Fire extinguisher
Una kisa kama changu na hali kama yangu.Mimi yangu nina miaka 15 inawaka moto hadi nilishazoea. Back 2012 nilipewa multivitamins ikapungua maana ilkuwa hadi inavimba ila from that time haivimbi tena ila kuwaka bado kupo japo kiasi.
Most likely ni nerves damage kitu ambacho ni non reversal. Kwa hiyo hali hii itabidi uzoee ila fika kwanza hospital upate.ushauri. kwa upande wangu hawakuona ugonjwa wowote and I was very young na usisahau kutupa mrejesho.