Naomba contacts za Old Shinyanga High School

Naomba contacts za Old Shinyanga High School

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,126
Reaction score
13,106
Kwa anayejua mawasiliano na uongoz wa shule tajwa hapo juu anisaidie na hali ya shule ilivyo kwenye michepuo ya art.
 
Ase beba hirizi zako zote kule wasukuma hawana mchezo watakugeua zuzu
 
Kwa anayejua mawasiliano na uongoz wa shule tajwa hapo juu anisaidie na hali ya shule ilivyo kwenye michepuo ya art.
nakuonea huruma,kama una uwezo nenda tu private,shule ya kata hiyo,any way haijalishi maana juhudi zako zitakufanya ufaulu
 
yeah nitapambana 2 maana napenda changamoto
 
Mkuu hiyo siyo shinyanga sec. Jina maarufu la shinyanga sec ni SHYBUSH ambayo ipo karibu na mji unaoitwa Maganzo na mgodi wa Mwadui.Hiyo Old shinyanga sec ni shule ya kata na ipo katika mji wa zamani wa Shinyanga.

shule yangu ya kwanza kufundisha
Old shy sec
 
Back
Top Bottom