kwa anaejua mawasiliano na uongoz wa shule tajwa hapo juu anisaidie na hali ya shule ilivyo kwenye michepuo ya art.
hii ndo shinyanga sec!?
Syo SHYBUSH hyohii ndo shinyanga sec!?
nakuonea huruma,kama una uwezo nenda tu private,shule ya kata hiyo,any way haijalishi maana juhudi zako zitakufanya ufauluKwa anayejua mawasiliano na uongoz wa shule tajwa hapo juu anisaidie na hali ya shule ilivyo kwenye michepuo ya art.
Mkuu hiyo siyo shinyanga sec. Jina maarufu la shinyanga sec ni SHYBUSH ambayo ipo karibu na mji unaoitwa Maganzo na mgodi wa Mwadui.Hiyo Old shinyanga sec ni shule ya kata na ipo katika mji wa zamani wa Shinyanga.