Naomba connection ya kazi

John_Anthony

JF-Expert Member
Mar 27, 2024
275
400
Jaman wana JF mwenye connection ya kazi naomba kuunganishwa tafadhari, nimejaribu kuomba kazi viwanda kadhaa hapa mbeya lakini hakuna mafanikio yoyote, kama kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana πŸ™
 
Njoo Tanzania mkuu!
Mikoani siyo Tanzania 😎
Karibu bongo Daresalam
 
S

Sasa huko sijawahi fika mkuu wala hakuna ndugu huko πŸ˜‡
Wewe njoo tu, yaani kama ulivyotoka tumboni mwa mama na kuja duniani, ndiyo hivyo hivyo toka Mkoani njoo Tanzania, Bongo Daresalam 😎
 
Elezea vizuri aina gani ya kazi wataka

Elimu yako ,

Umri

Namba ya simu

Be specific mr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…