Buku huwa naombwa na mateja, sometimes nawapa sometimes nawapotezea.ukiombwa buku unatoa?
sasa huyo mwenzio kaombwa buku kaumia mpaka kaanzisha thread akiombwa 10000 si tutamzika kwa pressure. zamani wanaume walikuwa na vifua ila sikuhizi imekua kinyumeBuku huwa naombwa na mateja, sometimes nawapa sometimes nawapotezea.
Gf au mchepuko kuniomba buku?! Sijswahi kutoka na mtu wa aina hio.
Ushauri:jiweke standard fulani hata ukiwa na shida ya 1000 omba 10,000....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uliza swali lako vizuri
hahahahhahaah ulihisi nini mkuu?Uliza swali lako vizuri
Lazima niwe makini, watoto wa siku hizi lugha zeni hazieleweki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mshua uko makini si kawaida
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Lazima niwe makini, watoto wa siku hizi lugha zeni hazieleweki.
Wewe ukiombwa unatoa?hahahahhahaah ulihisi nini mkuu?
jst curious to know
Inategemea kaomba nani mkuu, huwa natoaWewe ukiombwa unatoa?
Nitakuomba soon..Mm
Inategemea kaomba nani mkuu, huwa natoa
Wewe utaomba nini? Maana inategemea na ombiNitakuomba soon..
Si ulisema inategemea kaomba NANI kumbe pia inategemea nimeomba nini...subiri nikija kuomba utajua ila utoe.Wewe utaomba nini? Maana inategemea na ombi
Teh teh