Hiyo stashahada yako ya utunzaji fedha, kwa kingereza inaitwaje?Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha
Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu kazi ambazo naweza kufanya
Utunzaji stoo
Mapokezi
Mauzo(sales officer
Napatikana kibaha pwani
Umesomea stashahada ya utunzaji fedha Ili uje kutunza fedha za nani? Za watu au?Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu.
Kazi ambazo naweza kufanya
Napatikana Kibaha, Pwani.
- Utunzaji stoo
- Mapokezi
- Mauzo (sales officer)