Naomba Activation key for Microsoft office professional Plus 2019

Hiyo ni life time key. Nimepiga windows zaidi ya mara 6 tangu mwaka juzi nilitumia, mwaka jana. Juzi nimepiga windows na nikaitumia kuactivate. Na inapiga kazi na freshi. Na kama ulisign in windows yako, hiyo microsoft ina lleta jina lako, picha mpaka email yako.
Mkuu nimeshindwa kuidownload hapo juu.
 
Hiyo ni life time key. Nimepiga windows zaidi ya mara 6 tangu mwaka juzi nilitumia, mwaka jana. Juzi nimepiga windows na nikaitumia kuactivate. Na inapiga kazi na freshi. Na kama ulisign in windows yako, hiyo microsoft ina lleta jina lako, picha mpaka email yako.
Hii naweza kuitumia kwa ile ms office 2019 inayokuwa installed moja kwa moja na windows 10. Au inabidi iwe separate ndo itakubali..
Mimi natumia ms office inayopatikana kwenye windows 10 za jamaa anaitwa smokie blah blah. Sasa ishaanza kuniletea habari za kuactivate, je vipi hiyo itakubali au??
 
Nafikiri. Ila pia ushaangalia version ya windows unayoitumia?
 
Hii naweza kuitumia kwa ile ms office 2019 inayokuwa installed moja kwa moja na windows 10. Au inabidi iwe separate ndo itakubali..
Mimi natumia ms office inayopatikana kwenye windows 10 za jamaa anaitwa smokie blah blah. Sasa ishaanza kuniletea habari za kuactivate, je vipi hiyo itakubali au??
Ndiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom