Naomaba kama kunamtu mweye uelewa na hili

Status
Not open for further replies.

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Ivi hii mikopo ya vyuo vikuu nitatizo la bodi yamikopo au ni vyuooni?kwani tunashindwa kuelewa,tulishazoea kuwekewa hata kabla ya kufungua vyuo,mwaka huu imekuaje,tunaomba tujuzanine ili tuliamushe maana hawarespond hadi waone kuna uhalibifu na uvunjifu wa amani,tumechokaa,kwanini chuo cha dsm wapewe na sisi bado?
 
Mara zote huwa serikali ya J.K Inawasikiliza wapiga kelele, na hawa wapiga kelele wameshapata boom sasa sisi wengine tuliobakia tusubiri baada ya kulipwa kwa DOWANS ndio itakuwa ni zamu yetu, labada tushauriane kuwa tutumie utaratibu gani ili mawea yapatikane
 
acha kuongea pumba hapa. Mkopo wako unahusika vipi na malipo ya Dowans. Mlimani na Muhimbili wameshapewa. Nadhani ni vyuo wala si bodi ya mikopo.
 
Kwa taarifa iliyotolewa na bodi ni kwamba ela yote imepelekwa vyuoni,kwahiyo kama ni ucheleweshwaji basi chuo ndio kina matatizo...kwa taarifa isiyo rasmi wenda hizo ela AKA boom chuo kinazipigia biashara na sanasana shughuri za kibenki.
 
mimi hapa nilipo nimeshaanza masomo lakini sijawekewa hela!nafikiri hawa jamaa wa bodi wanahitaji kujireform upya kwa maana kila staili wanayotaka kuianzisha inakuwa worse.
 
Ivi hii mikopo ya vyuo vikuu nitatizo la bodi yamikopo au ni vyuooni?kwani tunashindwa kuelewa,tulishazoea kuwekewa hata kabla ya kufungua vyuo,mwaka huu imekuaje,tunaomba tujuzanine ili tuliamushe maana hawarespond hadi waone kuna uhalibifu na uvunjifu wa amani,tumechokaa,kwanini chuo cha dsm wapewe na sisi bado?

chuo gan?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom