Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

Neno moja tu, roho mbaya inakuumiza zaidi wewe kuliko hao unaotarajia kuwafanyia ubaya.

Ukikaa kimya ukaendelea na maisha yako itakua jambo la maana kwa maisha yako na afya yako.
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Na mm nakusubiri ukiolewa tu....mm nakuja live kukukata mikono stafuti limbwata...uone kama ni raha, umalaya ufanye we taabu utuachie sisi? Nyambafuuuu
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Hapa ndio utaelewa kwann shetani aliongea na mwanamke ana kwa ana.
 
Wangapi hao? wewe hufai kuwa mke maana kuna ambao hujawataja.
 
Hizi ndio huitwa "frastresheni zako", ngoja mchumba agundue hizi "frastresheni zako" akumwage tena na yeye.
 
Mtoto hahusiki kwenye visasi vyenu.

Halafu walimu wa kike mbona wengi stressed sana?? Samahani kwa walio na amani tele
Anyway, unaweza pia kuwa unaolewa kwa kisasi maana orodha yako umekatisha ilikiwa haijafika mwisho. Ngoja nami nijaribu bahati yangu
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Haki jf mwisho wa homa
 
Wewe umerogwa ?? Acha hizo kabisa, umeshavuka mto??? Kwanza kabisa, wewe ndiye umejiletea hayo yote kwa uchaguzi wa hovyo, ilikuwaje ukaingia kwenye mishimo yote hiyo, ulifunga macho??? Sasa tena unataka kuingia kwenye shimo jingine, unajuaje huyo wa sasa ni tofauti na hao... Hujitambui, omba neema ya Mungu na uombe msaada wa mawazo hasi, Mungu akupe neema ya kuwaza yaliyo meema.
 
Sio kwa chain hiyo
Ukiona umeachwa na watu wote hao ujue wewe pia sio mwema

Jichunguze

Back
Top Bottom