Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Ukishaolewa na Ww jiandae kulipa huu upuuzi.Faken Kabsaaa
 
Dawa unazokunywa zimepita muda wa matumizi
 
Hawa ndio wanawake mwanamke ni katili Sana isipokuwa mama mzazi
 
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao...uchawi sio lazima kuzikiri wuchi makaburini
 
Muoaji ana tabu sana.
 
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao...uchawi sio lazima kuzikiri wuchi makaburini
Dah mzee, kuzikiri? Mambo ya huaahuhaaa.. Huaahuuhaaaa! Kitambo sana.

By the way huyu mwanamke yupo hai bado?
 
Back
Top Bottom