miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
anamaanisha mapenzi stress, naunga mkono
kwa sasa huna haja ya kukurupuka kutafuta mwenza unahitaji muda zaidi wa kukaa na kutuliza akili ...
naamini huu muda ndo wa kuweza kujitazama wapi umekosea japo wewe unaamini umetendwa lakini katika huko kutendwa utakuwa umechangia kwa njia moja au nyinine hivyo wapaswa upate muda kwanza wa kutulizana
we unaonekana unapressure ya kupata kampani jaribu kutafuta marafiki wa kike wa karibu kuwa nao, kwa speed yako hii utaangukia pua mkuu, pole pole.
unaonekana unajua kupenda mpenzi wako kampani yako duh very rare chances duh i wish.
miezi miwil michache sana bado unataka mda kidogo watakuja wenyewe usijali. ukifanya kwa uwoga utaingia pagumu zaidi.
sort out mwanamke gani unataka ka kwenye viwanja vyao kama ni mshika dini hudhuria ibada, kama ni mfanyakazi au mfanyabiashara kaa kwenye mikato yao, ka ujui yupi unataka jitahidi kuzurura zurura utapata tu
Me nakuonya wala sikushauri; achana na namna hiyo ya maisha ni mbaya itakuharibia ujana na hatimae maisha yako yote yatakuwa ya kujuta, yupo aliyetoka kwenye ubavu wako, usipoelewa watakutenda tena na hatimae watakushort time.Najua hapa kuna wengi wana akili zao na waelewa japo wengne huwa siwaelewi but naombeni ushauri wenu:-
Nina kama miez 2 imepita tangu niwe kwenye maisha ya u single boy baada ya niliyekuwa nampenda kunifanyia kitu mbaya saana, ki ukweli nahisi kuhitaji kuwa na mpenz coz sina friends wala ndugu weng wa kunishauri wala kuni kampani, tatizo nahofia kutendwa tena na je nitaamini vp na kumpata vipi mwenye mapenzi ya kweli na ya kudumu coz sijawah na siwez kuwa na girl wa shot time au wa kupita tuu!!
naombeni ushauri wenu juu ya hili swala ndugu zangu nifanye nini??
ushauri
wewe huitaji g/friend,unahitaji mke.
kitendo cha kuachwa kinashabihiana na kukaa na watu wasiothamini mahusiano,haiwezekani kama ungekuwa na mke haya yasingekufika.
Mwombe MUNGU akupe wa kumwoa (wa kuishi naye mpaka mmoja wenu afe) na siyo G/friend ingawa sikukatazi kuwa na g/f,ni muhimu kwa ushauri na mabo mengine ya maisha ya kila siku.
siku hizi hawa wa kuokota njiani wana mengi na moja ya kero walizonazo na ambazo zinaweza kukuacha mdomo wazi ni kama:
kuachwa
magonjwa hasa UKIMWI,
kumwaga siri zenu hadharani,
kukuachia gundu na hata kupelekea kutopata mwingine kamwe.
jaribu kuwa mvumilivu,omba kwa mola akupe hitaji la kudumu ndani ya moyo wako.
POINT but tatizo ni utamaduni wangu liojiwekea nadhani ndo unaniumiza pia, mimi baada ya kutoka officen ni ndani kwangu, sina rafiki yoyote mtaani na sina sehemu yoyote naweza enda bila 7bu ya msingi, pia siwezi na sipend kutoka toka ovyo!!
Nilitaka kupita kimya kimya nikajikuta akili inaulazimisha mkono kuandika kitu ....
ERIK, ukiona gari limepata ajali utaacha kupanda magari kabisa kwa sababu magari hupata ajali? Uoga si hoja ya msingi.
Anyway, tukiacha suala la uoga, Ni miezi miwili tu immepita tangu ujeruhiwe kimapenzi, kwanini usijipe muda na kutafakari mahusiano yako yaliyopita na chanzo cha wewe kutendwa? Kwanini unataka ku-rush kupata mwingine bila kutathmini makosa yaliyotokea mwanzo? Haufahamu kuwa kuanza mahusiano kwa haraka bila kufanya uchunguzi wa kina unaweza kukusababishia kukutana na matatizo kama yale yale?
nishakua