Naogopa mapenzi ila ashiki zinasumbua

me4u

Member
Oct 26, 2012
42
13
jamani mwenzenu miye nina miaka 23 ila naogopa kupenda sasa, maana nilipendaga kama mara mbili hivi mademu wakanizinguaga so yaani hadi sasa nawachukia mademu wote, ila tatizo ashiki bana zinanizingua sijui nifanyaje?
 
Hebu weka picha yako ili nikushauri vizuri.Anyway tafuta wa size yako acha kuchukua visu alafu we generator au huna hela kila siku utazidi kutulilia.
 
jamani mwenzenu miye nina miaka 23 ila naogopa kupenda sasa, maana nilipendaga kama mara mbili hivi mademu wakanizinguaga so yaani hadi sasa nawachukia mademu wote, ila tatizo ashiki bana zinanizingua sijui nifanyaje?

ID yako inasomeka me4u jee na huyo u nae kakuzingua pia!!
 
jamani mwenzenu miye nina miaka 23 ila naogopa kupenda sasa, maana nilipendaga kama mara mbili hivi mademu wakanizinguaga so yaani hadi sasa nawachukia mademu wote, ila tatizo ashiki bana zinanizingua sijui nifanyaje?

Okoka umtegemee BWANA.
 
23 ZEEEEE KABISAAAA!!!!!!! Khaaaaaaaaaa! Anyway since wewe hutaki mademu basi FANYA MOZOEZI, TAFUTA BURUDANI MBADALA KAMA MUSIC, KEEP YA SELF BUSY, GET A HOBBY WALA HUTOPATA MIHEMKO!!!!!!!!!
 
tumia sabuni au chukua manguo mengi viringisha duara kiwe kuduara mnato malizia dhiki zako hapo siku ziendeleeee
 
Back
Top Bottom