Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
Hahahahahahaha sasa unaogopa nini mbona kawaida tu kwanza cku iz ukimw kama malaria tu wala hautishi
ankoo hahahaha...umenichekesha sana
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
Sijui niite huu ni ushauri au la..lakini ndio ukweli! Unapohisi kuwa umecheza rafu nyingi, na una hofu sana kupima VVU ujue afya yako...basi mtu wa hivyo ndio mlengwa mkubwa wa kampeni nyingi za kuhusu kujikinga na maambukizi. Huku kujali kote wadau wanakoonyesha, na mabilioni ya shilingi kutumika..ni hasa kwa ajili ya watu wa kundi hili linalojihisi liko kwenye hatari (risk) kubwa ya kupata maambukizi.
Si kila mwenye tabia hatarishi ameambukizwa (japo anajiweKa katika uwezekano mkubwa wa kuambukizwa)...na si kila aliyeambukizwa basi ni mcheza rafu..toa huo unyanyapaa kwanza, kisha ndio utaona kupima maambukizi ya VVU ni jambo la kawaida na lenye manufaa hasa kama kwako ambapo unalenga kubadili tabia na kutulia na kuanzisha familia.
Unapoogopa/unapogoma kupima VVU mapema, fahamu kuwa itakuja tu siku ambapo utalazimika kupima..na mara nyingi ni baada ya VVU kuanza kusumbua, na magonjwa nyemelezi (opportunistic infections mfano TB, Meningitis, Pneumonia etc) yashatia nanga, utalazimika kupima ili uweze pata matibabu stahiki..na katika hali kama hii survival inaweza kuwa 50/50, kwani tayari CD4 ziko chini sana kiasi cha kuanza kuugua magonjwa nyemelezi.
Ni busara kupima mapema kabla hujaanza kupata dalili..ili 'kama' umeambukizwa, basi uanze dawa mapema wakati CD4 cells hazijashuka chini ya kiwango na kabla ya kuchoka kutokana na magonjwa nyemelezi, mara nyingi hapa survival na quality of life is guaranteed.
NB: HAIKUSAIDII KUOGOPA KWENDA KUPIMA SABABU...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HUASSUME WAMESHAATHIRKA NA HIVYO KUENDELEA NA TABIA ZAO HATARISHI, NA HIVYO KUAMBIKIZWA HATA KAMA WALIKUWA HAWAJAAMBUKIZWA MWANZO...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HULAZIMIKA KUPIMA WAKATI WAMEANZA KUUGUA NA WANAWEZA POTEZA MAISHA KWA KUCHELEWA MATIBABU, WAKATI WENGI WALIOKUWA NA UJASIRI WA KUPIMA MAPEMA WAKIKUTWA NA MAAMBUKIZI HUANZA MATIBABU MAPEMA NA WANAISHI MAISHA MAZURI TU!
Ukisikia mtu anauza folk lift nishtue please kuna jamaa yangu hapendi kufanya vipimo sasa inabidi nimpeleka kunakohusika
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
Sijui niite huu ni ushauri au
la..lakini ndio ukweli! Unapohisi kuwa umecheza rafu nyingi, na una hofu
sana kupima VVU ujue afya yako...basi mtu wa hivyo ndio mlengwa mkubwa
wa kampeni nyingi za kuhusu kujikinga na maambukizi. Huku kujali kote
wadau wanakoonyesha, na mabilioni ya shilingi kutumika..ni hasa kwa
ajili ya watu wa kundi hili linalojihisi liko kwenye hatari (risk) kubwa
ya kupata maambukizi.
Si kila mwenye tabia hatarishi ameambukizwa (japo anajiweKa katika
uwezekano mkubwa wa kuambukizwa)...na si kila aliyeambukizwa basi ni
mcheza rafu..toa huo unyanyapaa kwanza, kisha ndio utaona kupima
maambukizi ya VVU ni jambo la kawaida na lenye manufaa hasa kama kwako
ambapo unalenga kubadili tabia na kutulia na kuanzisha familia.
Unapoogopa/unapogoma kupima VVU mapema, fahamu kuwa itakuja tu siku
ambapo utalazimika kupima..na mara nyingi ni baada ya VVU kuanza
kusumbua, na magonjwa nyemelezi (opportunistic infections mfano TB,
Meningitis, Pneumonia etc) yashatia nanga, utalazimika kupima ili uweze
pata matibabu stahiki..na katika hali kama hii survival inaweza kuwa
50/50, kwani tayari CD4 ziko chini sana kiasi cha kuanza kuugua magonjwa
nyemelezi.
Ni busara kupima mapema kabla hujaanza kupata dalili..ili 'kama'
umeambukizwa, basi uanze dawa mapema wakati CD4 cells hazijashuka chini
ya kiwango na kabla ya kuchoka kutokana na magonjwa nyemelezi, mara
nyingi hapa survival na quality of life is guaranteed.
NB: HAIKUSAIDII KUOGOPA KWENDA KUPIMA SABABU...WENGI WANAOOGOPA KWENDA
KUPIMA HUASSUME WAMESHAATHIRKA NA HIVYO KUENDELEA NA TABIA ZAO
HATARISHI, NA HIVYO KUAMBIKIZWA HATA KAMA WALIKUWA HAWAJAAMBUKIZWA
MWANZO...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HULAZIMIKA KUPIMA WAKATI
WAMEANZA KUUGUA NA WANAWEZA POTEZA MAISHA KWA KUCHELEWA MATIBABU, WAKATI
WENGI WALIOKUWA NA UJASIRI WA KUPIMA MAPEMA WAKIKUTWA NA MAAMBUKIZI
HUANZA MATIBABU MAPEMA NA WANAISHI MAISHA MAZURI TU!