inategemea ntu na ntu, wengine hata hatujazaliwa na aibu.Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan ya eden? (Sijasema kuwa aliasi mapenz kwnye bustan ya eden)...
Mbona kuomba ela haoni aibu?
Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan ya eden? (Sijasema kuwa aliasi mapenz kwnye bustan ya eden)...
Mbona kuomba ela haoni aibu?
Bustani ya Edeni ilikuwa kwa watu weupe ndo maana wanawake weupe "Wazungu" wanaweza kumwambia mwanaume nakupenda, na zaidi ya hapo anaweza mwambia twende nikakupe sasa hv,.........!:tape:the point is......?
... Njoo Sinza Corner Bar. saa 2 usiku... hata hujafungua gari hajakuona NAKUPENDAAAA..... na juu juu unakamatwa...
- African American, charminglady wanakujibu sasa hivi
the point is......?
na miluzi wanakupigia,wale watu kweli balaa.....
mbona mimi mke wangu ananiambia kila mara kuwa nakupenda, au ulikuwa na maana ipi ndugu
Ngoja ntakuja unipeleke Corner bar,....ngoja mjomba amesema shule ikifunga nije huko dar kushangaa magorofa,....ntakutafuta ukanionyeshe Sinza kwa wajanja...right..?
right,sio Corner Bar na viwanja vyote hapa darisalaama.....
mwambie Mjomba kabisa kuwa kuna kimwana atakuja kukupokea Ubungo Terminal
Haya....ngoja nimtumie barua my uncle kumjulisha kuhusu ujio wangu wa mwezi wa tisa.......