Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,640
Nasikia huko unaweza kutoka kuoga ukawa kama umepikwa. Maji ya kuoga wanaweka binzali, iliki, kitunguu swaumu hadi kachumbali
Ucogope mkuu mtu mzima dawaNinae mchumba toka tanga mdigo yupo tanga kwao nami nipo mwanza, mipango yetu ya kuona bado ipo jikoni maana mimi ndo namalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo. Toka tuwe katika mahusiano hatujawahi kufanya mapenzi maana ni makubaliano yetu hayo,kwani ananamini nami namwamini hvyo tunasubiri mda mwafaka, kinachonitia hofu ni pale anaponambia na kuniahidi nijipange kama nimezoea kuruka ruka nitatulia tu, kwani yeye kafunzwa unyagoni kafunzika hivyo hana utani na mapenzi, hapo ndo haswaaa ananitia wasiwasi, kunipagawisha, kwani mimi mwenyewe sio mwenyeji wa hayo mambo kiviile asa nahisi kuumbuka au kudharaurika na sijui nini cha kufanya niweze kukabiliana nae pindi tutakapokua kwenye ndoa. Maswali kama" uishawahi oga hiriki, kubebwa mgongoni? na kushindwa kwenda hata kazini.? " huniuliza na mie nabaki kumchekea tu na kumuahidi kukabilaiana nae kama deffensive. Ushauri wenu jamani je hayo maneno yake ni kweli watoto wa kidigo wapo hvyo? Na ni vipi nijipange kukabiliana nayo.nawasilisha....
Mamwinyi kivip labdaWe Sugua lango tu maswala ya kudharauliwa haijalishi una utalaam gani, one more thing wadigo ni mamwinyi mno anaewajua wadigo ataniunga mkono
Nakusalimia boss!Wazaramo wana usemi..
'zilongwa mbali ,zitendwa mbaali'
wewe unauziwa maneno tu unapagawa
usikute hana lolote ...maneno tu
Mapenzi umeweza kuyatupilia mbali ndiyo lakini mbona kuacha kunywa mbege umeshindwa?[emoji4][emoji4][emoji4]
Always too much is harmful.....ukiwa na msimamo sana unaweza ukajikuta unakosa hata wa kukuoa.....bear in mind.MTAFUTE MUNGU ukimpata mtafute pesa ukiipata ndo umtafute yeye .. mim nawaza pesa halafu unasema mapenzi ,ulizaliwa ukayakuta utafanya sana na utayachoka tuuu usemi wa mwalimu wangu nikiwa nasoma o level ..alikuwa anatusema sana yule mwalimu ndo maana nimesimamia msingi wake lasivyo huenda ningekuwa nishaolewa au kubebeshwa mimba sasa ...
Akili zake zipo likizo.....zikirudi ndo atajua anadanganywa.Mkuu hauko serious kabisa, kuna makabila ya kuambiana kutofanya tendo la ndoa hadi mkifunga ndoa, kabisa uliona wapi mtanga akavumilia kukaa muda mrefu bila mgegedo eti kisa kusubil ndoa, tena weee upo mwanza yeye kwao Tanga
Nenda baada ya ndoa ukakute papuchi ya kushikilia na mkono kwakuwa shavu zote zimemwagika pembeni, wanaume wengine bana, yani ukiona mwanaume kakubalina na swala la mgegedo hadi ndoa ujue tu ni muoga hajui lolote kuhusu mapenzi so anakuwa amepata defensive mechanism, ila akiwa mjanja hakuna anekubali huo ujinga wanawake wenyewe wa leo wanaanza mapenz yuko primary alaf wewe akwambie hadi ndoa km sio dharau ni nini
[emoji23][emoji23] [emoji23] Hata kwetu mbege inatengenezwa pamoja na dadii ile ya mahindi!muone ..njoo kibamba nikununulie kachubuku unywe..maana naona umeona wivu vip kwenu wanatengeneza gani
Usiogope mkuu hizo ni mbwembwe tu mapenzi yalikuwa zamaniNinae mchumba toka tanga mdigo yupo tanga kwao nami nipo mwanza, mipango yetu ya kuona bado ipo jikoni maana mimi ndo namalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo. Toka tuwe katika mahusiano hatujawahi kufanya mapenzi maana ni makubaliano yetu hayo,kwani ananamini nami namwamini hvyo tunasubiri mda mwafaka, kinachonitia hofu ni pale anaponambia na kuniahidi nijipange kama nimezoea kuruka ruka nitatulia tu, kwani yeye kafunzwa unyagoni kafunzika hivyo hana utani na mapenzi, hapo ndo haswaaa ananitia wasiwasi, kunipagawisha, kwani mimi mwenyewe sio mwenyeji wa hayo mambo kiviile asa nahisi kuumbuka au kudharaurika na sijui nini cha kufanya niweze kukabiliana nae pindi tutakapokua kwenye ndoa. Maswali kama" uishawahi oga hiriki, kubebwa mgongoni? na kushindwa kwenda hata kazini.? " huniuliza na mie nabaki kumchekea tu na kumuahidi kukabilaiana nae kama deffensive. Ushauri wenu jamani je hayo maneno yake ni kweli watoto wa kidigo wapo hvyo? Na ni vipi nijipange kukabiliana nayo.nawasilisha....
Bora umwambieTupe namba zake mkuu, ili ukishindwa tukusaidie