NGASEKU MDOGO
Member
- Mar 20, 2013
- 50
- 10
Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto( Noah) choma na ugali; jamaa akamsabahi vipi bwana naona unapiga ugali hapo majibu aliyopewa saaa..... umeona vibaya bwana naogesha mtoto hapa daaaaaaaaah imekaa pouaa hii