Naobeni msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naobeni msaada.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jaslaws, Sep 26, 2012.

 1. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Dah laptop yangu imepasuka screen ni dell,so cjui kama naweza kubadili hyo screen ama vipi na cjui naweza kupata wapi hyo screen,msaada tafadhali wanajamvi.
   
 2. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  ni dell aina gan?
  Zipo za kumwaga, na jamaa yupo tena mzuri, ndan ya robo saa unatembea na pc yako,yupo kariakoo mtaa wa kongo, kama upo dsm nitafute mawasiliano yake nikupe..yapo mbal kidogo ila naweza yapata..
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Ok namba yangu ni 0758-144803 ama email ni kingjastin@yahoo.com niko dsm mkuu.afu naomb unambie itanicost kama sh ngapi.
   
Loading...