Naoa, karibuni sana

Naoa, karibuni sana

Kila la heri mkuu katika ndoa yako. Karibu sana katika maisha ya ndoa. Asikwambie mtu ndugu yangu...... Kuishi wawili ni raha sanaaa
 
Kila la heri mkuu katika ndoa yako. Karibu sana katika maisha ya ndoa. Asikwambie mtu ndugu yangu...... Kuishi wawili ni raha sanaaa

Asante sana ndio maana nikakata shauri niwe na mwenza wa maisha.
 
Karibu sana katika chama chetu cha kuvumiliana mwenyezmungu akuongoze akuondolee na fitna za wanadamu nikutakie kila la kheir katika ndoa yako
 
Wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Baada ya kukaa muda mrefu katika mahusiano ya uchumba hatimaye nimekata shauri kumuoa kabisa binti wa watu. Watu wa Kilimanjaro ndo shemeji zangu hapa maana naja oa huko Moshi kesho J'mos Tar 03 Oct na tafrija itafanyika Mtwara-LA VILLE NOUVELLE HOTEL.

Ambao wameshaoa naomba kukaribishwa kwenye maisha mapya na ambao hawajaoa kwaherini kwenye ukapela.

Kwanini umeamua kuoa?
 
Back
Top Bottom