wanawake wazuri wazuri wanaolewa tu yanabaki manung'aembe yanahangaika
Utasikia dada anajiita yeye mzuri wakati hata pete ya uchumba hajawahi kuvalishwa teh teh teh
Hongera mkuu
Kilalaher mkuu ndoa njema dada yang umtunze co ukamtese
Nkiskia anateseka nakuja na pipi la mbege chaliaang
Hongera mkuu japo michepuko huta acha coz dada zetu wa kichagga ni zero kabisa 6*6!
Hongera... wengine bado tupo tupo kwanza....
ZABURI 127:1 "Bwana asipojenga nyumba waijengao wafanya kazi bure, Bwana asipolinda mji yeye aulindaye akesha bure"
mshirikishe Mungu kwa kila jambo ili ndoa yenu iwe yenye baraka.