Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

hiyo movie inaitwaje?
sasa na wewe mkomoe, kama hataki kuchoma sindano za uzazi wa mpango kisha anakunyima chakula yako, mwambie basi wewe ndo unaenda kuchoma hiyo sindanoNimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
Nitatofautiana kidogo na wachangiaje wengine. Mkeo hawezi kukunyima asali kwa sababu hujamnunulia smartphone la hash! wala usidhani anatoka nje ya ndoa. Ni hivi; mkeo ana tatizo la fungasi kwenye mji wake wa uke, hivyo akifanya mapenzi anapata maumivu makali sana kiasi kwamba anaumia, baada ya muda wa sindano kuisha kaamua atumie njia hiyo kukueleza kivitendo kwamba sichomi sindano nyingine hadi uninunulie simu smartphonr akijua kwamba hautofanya nae mapenzi wakati hajachoma sindano. Zungumza na mkeo ujue tatizo zaidi ni nini. Pia mnunulie simu hiyo ya smartphone anayohitaji au unataka anunuliwe na mwanaume mwingine?

Umeoa ....????