Nanunua simu mbovu za aina zote

Nanunua simu mbovu za aina zote

Nina Blackberry samsung j8 mbili za kichina vp unanipa bei gan
 
Mkuu kuna watu wameuliza bei naona kimya,mi ninazo mbili ukijibu comments hapo juu namimi nakuletea
 
nina samsung S4 haisomi laini ina overheat, kuna nokia lumia 520 nayo ni mbovu haiwaki na ina crack kidogo... Utanipa ngap?
 
iyo samsung s4 nikupe elfu kumi ipo hapa
nataka niinunulie Motherboard aliexpress mkuu ni kama 34000 ya kitanzania..ipo lumia 520(windows 8.1) na kuna lumia 735(windows 10) ni full functional haina tatizo lolote karibu tuongee
 
n
nataka niinunulie Motherboard aliexpress mkuu ni kama 34000 ya kitanzania..ipo lumia 520(windows 8.1) na kuna lumia 735(windows 10) ni full functional haina tatizo lolote karibu tuongee
hii ingenifaa kwa 10k mkuu
 
Back
Top Bottom