Saketi za simu ndo zinini muzee???
ni ule utumbo wa ndani ya housing la sm
Sawa mkuu, mm bado wakuja nilikuwa sijui km cm zina utumbo. Haya kila la kheri boss
ninanunua saketi za simu kg sh5500 nipo dar .. kwa mawasiliano nicheki kupitia namba 0658959797