mtu yeyote mwenye motherboard mbovu zikiwa nyingi ni vizuri zaidi lakini hata zikiwa 3 au 4 sio mbaya nikaja kuchukua kukuondolea takataka maana zipo tu lakini huzitumii PM or call on 0732 928530
mtu yeyote mwenye motherboard mbovu zikiwa nyingi ni vizuri zaidi lakini hata zikiwa 3 au 4 sio mbaya nikaja kuchukua kukuondolea takataka maana zipo tu lakini huzitumii PM or call on 0732 928530
Je, bado unahitaji hizi kitu? Niko nazo nadhani kama 3 hivi; ila pamoja na hoja yako ya kusaidia kuondoa taka, itabidi ulipie kidogo hiyo huduma ya kuniondolea taka! Kama bado wahitaji sema tupange pengine tuonane Jumamosi hii
me nina fijitsu siemens,,, haina adapter wala haina hard disk... ninayo kitambo sanaaaaaaaaa...!!! hadi kioo chake bado kipo.. vp unanipa how much hapo.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.