Nanunua mkaratusi

Nanunua mkaratusi

optionnacy

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
7
Reaction score
0
Nataka mikaratusi iliyonyooka yenye
Diameter 17-30 cm
Nataka nyingi kadri unavoweza
Kuanzia miti 500-
0682426975
0744769774
 
Unanunua sh ngapi kwa mti mmoja...mkaratusi/mlingoti...kuna sehemu inapatikana
 
Nanunua diameter 16-30 cm
Length 2.6 meter
Pc moja elf 2500. Hyo
 
Nataka mikaratusi iliyonyooka yenye
Diameter 17-30 cm
Nataka nyingi kadri unavoweza
Kuanzia miti 500-
0682426975
0744769774
Mkuu mimi ninayo ipo Tanga -Lushoto -Mlalo.

Vipi utaweza kuifata huko?
 
Back
Top Bottom