bending moment Member Joined Jul 9, 2017 Posts 56 Reaction score 70 Jun 9, 2024 #1 Habari, nanunua google play console yenye zaidi ya mwaka bei 500,000 mpka 1M. ikiwa na live apps +sourcecode& keystore itapendeza zaidi
Habari, nanunua google play console yenye zaidi ya mwaka bei 500,000 mpka 1M. ikiwa na live apps +sourcecode& keystore itapendeza zaidi
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,449 Reaction score 17,921 Jun 9, 2024 #2 Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE'
bending moment Member Joined Jul 9, 2017 Posts 56 Reaction score 70 Jun 9, 2024 Thread starter #3 Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand... kama unayo njoo inbox Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand...
Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand... kama unayo njoo inbox Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand...
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,149 Reaction score 27,825 Jun 9, 2024 #4 Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand... Kuna jamaa aliniletea za Facebook. Hatoi koneksheni mpaka atumiwe hela ya vocha
Excel said: Hehe! na mmejaa FB kama utitiri sijui mna mpango gani na hizo 'CONSOLE' Click to expand... Kuna jamaa aliniletea za Facebook. Hatoi koneksheni mpaka atumiwe hela ya vocha
ShaxNgole Member Joined Jun 19, 2019 Posts 59 Reaction score 46 Jun 22, 2024 #5 Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
ShaxNgole Member Joined Jun 19, 2019 Posts 59 Reaction score 46 Jun 22, 2024 #6 Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
ShaxNgole Member Joined Jun 19, 2019 Posts 59 Reaction score 46 Jun 22, 2024 #7 Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,123 Reaction score 194,206 Jun 22, 2024 #8 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Jay_255 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 446 Reaction score 1,430 Aug 25, 2024 #9 Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).π²π² Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) π€π€π€ βοΈπ 0677 818283
Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).π²π² Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) π€π€π€ βοΈπ 0677 818283
E Erick11 Member Joined Jun 1, 2024 Posts 22 Reaction score 39 Aug 26, 2024 #10 tusiojua google console tunaomba ufafanuzi, ukute tunazo na hatujui